Makanisa Ya Kikristo Ya Mungu
[071]
Malaika na Sadaka ya
Ibrahimu
(Toleo La 2.0
19941008-19991213)
Sadaka iliyotakiwa kutolewa na
Ibrahimu ya mwanae Isaka inaelezewa kwa kina mtazamo unaotaka kulifafanua
jukumu la Malaika wa YHVH (Yahova) kwenye tukio hili na ambalo halichanganyiki
na uweza wa Mungu wa kujua kila jambo. Jukumu la Malaika katika kumponya
Ibrahimu linaonekana pia katika kumponya Isaka.
Christian
Churches of God
E-mail: secretary@ccg.org
(Hati
Miliki © 1994, 1999 Wade
Cox)
(tr.
2015)
Masomo haya
yanaweza kunukuliwa na kuwapa watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu
bila kubadilisha au kufuta maneno. Jina la mchapishaji na anuani yake pamoja na tangazo la hati miliki ni
lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpokeaji kutoa au kuchangia kwa
nakala yoyote atakayo pewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa
kukithi haja ya lugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.
Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:
http://www.logon.org na http://www.ccg.org
Malaika na
Sadaka ya Ibrahimu
Ibrahimu na
Malaika
Biblia inaendelea kumdhihirisha Mungu
kwa kupitia Malaika au mjumbe kwa msingi endelevu na wenye utaratibu maridhawa.
Mwanzo 16:7 inaelezwa kuwa ni kama inayomuonyesha Malaika huyu.
Hadhithi kuhusu jinsi Hajiri
alivyomkimbia Sarai (Mwanzo 16:7-13). Malaika anaahidi kwamba atambariki na
kuuzidisha mzao wake aitwaye Ishimaeli na ambao ni taifa la Kiarabu. Na kwamba
Baraka za watu wa jamii ya Kiarabu inatokana na ahadi hii ya Malaika
aliyomahidi Hajiri. Kwenye aya ya 13 Hajiri anamtaja kiumbe aa mtu
aliyeorodheshwa hapa kwenye uaya hii kuwa ni kama YHVH, kama Wewe-Ni-Mungu-Unayeona akitumia
tu umbo la Mungu, El.
Tafsiri ijulikanayo kama Kijani (ya The
Interlinear Bible) inaonyesha andiko hili kama hivi:
Malaika wa Bwana
akamwona kwenye chemchemi ya maji katika jangwa, chemchemi iliyoko katika njia
ya kuendea Shuri. Akamwambia, Hajiri, wewe mjakazi
wa Sarai, unatoka wapi, nawe unakwenda wapi? Akanena, Nakimbia mimi kutoka
mbele ya bibi yangu Sarai. Malaika wa Bwana akamwambia, Rudi kwa bibi yako,
ukanyenyekee chini ya mikono yake. Malaika wa Bwana akamwambia, Hakika
nitauzidisha uzao wako, wala hautahesabika kwa jinsi utakavyokuwa mwingi.
Malaika wa Bwana akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume,
nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana Bwana amesikia kilio cha mateso yako.
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote
na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.
Akaliita jina la Bwana aliyesema naye, Wewe U Mungu uonaye, kwani alisema, Hata
hapa nimemwona yeye anionaye?
Kiumbe huyu alikuwa hatofautiani na Yule
aliyetajwa kama Malaika wa Yahova (YHVH) na pia
kama pia Yahova, Yule aliyesemanaye
akimuahidi kuongezeka kwake. Ahadi alizopewa Ishimaeli zina maana yake kubwa
sana pia. Wazo la kwamba Ishimaeli aliishi kobla ya ndugu zake wote lina maana nyingi zaidi yanayoonyesha
matukio ya siku za mwisho.
Kiumbe huyu aliitwa kama Yahova tena
anamtokea Ibrahimu (Sura ya 17) miaka kadhaa iliyofuatia baadae. Ibrahimu
aliongea naye uso kwa uso. Kwenye injili ya Yohana 1:18 kiumbe huyu, kwa hiyo
asingeweza kuwa Mungu Baba anayetajwa
kwenye malalamioko yake kama ton Theonin kwa Kiyunani) au Eloa.
Ananena kama Elohim Shadday (SHD 7706) au Mungu Mwenyezi (mwenye uweza
mwingi). Kiumbe huyu alikuwa ni Elohim na tena kwenye uelewa
wa maandiko haya hakuwa ni huyu Eloah au Mungu Baba. (Eloah ni jina linaloonyesha Mungu mmoja,
kama Allah). Hii inamuweka kiumbe huyu kana Yule aliyetajwa kwenye
Zaburi 45:7. Elohim wa
Israeli ambaye alitiwa mafuta kuwa Elohim na Elohim (Eloheik)
wake ambaye ni Eloah. Kiumbe huyu anaweka agano lake na Ibrahimu na
kufanya agano tena na kuubariki uzao wake, yaano wote wawili, Ishimaeli na Isaka. Anafanya agano na uzao wa Isaka milele.
Huyu Elohim anatenda mambo yake mjumbe au Malaika wa Yahova, Aliye Juu Sana na
ni yeye Mwenyewe ndiye aliyetajwa kama Yahova na pia ni Malaika
wa Yahova. Kwenye Mwanzo 18, Yahova anamtokea tena
Ibrahimu ... wakati huu akiwa na kundi la watu watatu. Kwenye Mwanzo 18:3
anaelezewa kuwa ni Yahova. Hii ni ya kwanza kati ya jumla 134 ya maeneo
yaliyopotoshwa ambapo badala ya kuandika neno Yahova iliandikwa Adonai kwenye
tafsiri ya Sopherim (mfuatano wa mambo). (Orodha rasmi ya hizi mara
134 imetolewa kwenye tafsiri ya Massorah, kurasa za 107-115, Toleo
la Ginsburg) na imerudiwa kwenye tafsiri nyingine ya The Companion Bible,
sehemu ya Nyongeza namba 32. Orodha inamaana. Uingizaji yaliyowahusu Mababa
yapo kwenye Mwanzo 18:3,27,30,32; 19:18; 20:4; Kutoka 4:10,13; 5:22, 15:17;
34:9; Hesabu 14:7. Elohim alichukuliwa kwa namna moja na kwa hiyo
orodha inahitaji nyongeza.
Watu hawa
watatu wanaaonekana hapa walijulikana kuwa ni Yahova bila kuwatofautisha.
Kwa hiyo wajumbe wengi au malaika (Malak) ndiyo kwayo, majina ya kikazi ya
wafalme wa Israeli yalitokana, yalichukuliwa kutokana na jina hili.
Ibrahimu alishirikishwa na Yahova kuhusu
kuuachilia mji wa Sodoma kama ungekutwa unamcha na kuwa mtakatifu. Viumbe
wawili kwenye Mwanzo 19 waliokuja Sodoma (kama alivyoambiwa Ibrahimu)
walijulikana kama Malaika. Watu hawa wawili walijulikana kama Yahova,
wote wawili walikuwa wamoja na pasipo kutofautia, ambao huenda ndiyo sababu ya
Serafi kubadilishwa jina lake kwenye Mwanzo 18. Maangamizo ya Sodoma yalifanywa
na Elohim (Mwanzo 19:29). Kwa hiyo tunaweza kuonyesha kwamba
jina Yahova au YHVH linendana na mlolongo wa
kidaraja la cheo, hadi kufikia kwenye Yahova Aliye Juu Sana, au Eloa, hadi kwa Elohim wa
Israeli ambaye ni mdogo na msaidizi wa Mungu, hadi kwa malaika wawili
ambao kwa namna nyingine walikuwa ni wasaidizi wake Elohim. Kwa
hiyo jina ni la yule mwenye mamlaka aliyopewa na Eloa. Kwa kuhitimisha
zaidi ni kwamba tuna viumbe maalumu wanne, ambao wanajulikana kama Mungu kwenye
maelezo ya bilbia. Ni wepi hao? Je, wanafanya nini na wanaelekea kufanya nini
ili kumaanisha majina yao? Jibu ni kwamba, Kristo ndiye aliyekuwa akiwatokea
Israeli na kuanzisha utaratibu wake au imani kwa kupitia Mababa zao watakatifu.
Matendo haya hukusu Ibrahimu, Isaka na Yakobo yana maana sana.
Kwenye Mwanzo 20:4, kiumbe anayetajwa
kama Elohim na Abimeleki, mfalme wa Gera, alikuja kwake
kwa njia ya ndoto alimuamuru amrudishe Sara, mke wa Ibrahimu ambaye alikuwa
amemchukua akidhani kuwa ni dada yake Ibrahimu. Kimsingi huyu Elohim ndiye
aliyelifanya agano na Ibrahimu na uzao wake. Kwahiyo, wakati Hajiri
alipofukuzwa, kiumbe huyu alimlinda kwa ajili ya ahadi iliyotolewa kwa
Ishimaeli. Kwenye Mwanzo 21:17-20 tunaona mahali pa ajabu kwamba Elohimu alisikia
sauti ya Ishimaeli, ila alikuwa ni huyu Malaika
wa Mungu (Elohim) aliyenena na Hajiri. Lakini jambo la ajabu zaidi
kuhusu kiumbe huyu, ambaye alikuwa ni Malaika
wa Elohim, alikuwa ndiye
yeye mwenyewe alikuwa kama Elohim wakati alipomfungua macho Hajiri.
Kwahiyo, Elohim aliyerudia ahadi zake kwa Hajiri kwamba alifanya
Ibrahimu kuhusu Ishimaeli, kuwa awe mdogo kama Malaika wa Elohim ila
pia alitajwa kwake kama Elohim kwa haki yake mwenyewe.
Malaika na
sadaka ya Isaka
Malaika wa YHVH ndiye
kiumbe kile kilichomkataza na kushughulika na Ibrahimu. Malaika alimjaribu
Ibrahimu kwa kumtaka atoe sadaka ya mwanae Isaka. Uweza wa Mungu wa kujua mambo
yote ulikuwepo bila shaka kama ilivyokuwa sio Eloah aliyehusishwa moja kwa
moja.
Mwanzo
22:11-12 Ndipo malaika wa
Bwana akamwita kutoka mbinguni, akasema, Ibrahimu! Ibrahimu! Naye akasema, Mimi
hapa. Akasema, Usimnyoshee kijana mkono wako, wala usimtendee neno; kwa maana
sasa ninajua ya kuwa unamcha Mungu, iwapo hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee. (Tafsiri ya The Interlinear Bible).
Kiumbe huyu hapa anayemjaribu Ibrahimu
alitajwa kwa namna mbalimbali kama Yahova, Elohim na
Malaika wa Yahovah. Malaika,
ambaye kwa wazi kabisa ni msaidizi hana uweza wa kujua kila kitu. Anaweza kuwa
alimjaribu Ibrahimu kwa malengo ya kumuonyesha Ibrahimu na Isaka, akiwa anajua
kitakachotokea. Ushahidi wa kibiblia ni kwamba kiumbe huyu amepewa uwezo
sawasawa wa kujua kila kitu hapa duniani. Mungu anajua kila jambo na Mungu huyu
aonaye majira na au anayefanya hukumu (RSV).
Ayubu
24:1 Mbona nyakati zisiwekwe
na Mwenyezi? Na hao wamjuao mbona hawazioni siku zake?
Ayubu
24:1 Mbona nyakati zisiwekwe na Mwenyezi? Na hao
wamjuao mbona hawazioni siku zake?
Dhana au wazo ni la kweli kwamba yeye
ndiye ajuaye kila jambo. Tafsiri ya The Interlinear Bible inatoa mwanga zaidi
kwenye somo lenye tafsiri ya moja kwa moja zaidi.
Mbona nyakati
zisiwekwe na Mwenyezi? Na hao wamjuao mbona hawazioni siku zake?
Andiko hili limechukuliwa kutoka
kwenye usemi wa moja kwa moja kwamba Mbona
nyakati zisiwekwe na Mwenyezi? Na hao wamjuao mbona hawazioni siku zake? Nusu ya mwisho ni swali linalodai, kwa
nguvu, kwamba ni muhimu kumjua
Mungu ili kusiona siku zake.
Nusu ya kwanza ina ushauri kwamba
wakati sio kipindi kinachotoa dhana kwa Mungu kwa ile ambayo kwayo
haijahifadhiwa na yu tayari kufikiwa katika siku zijazo. Ayubu 28:10,24
inaonyesha uweza wa muda mfupi wa kujua kila jambo wa kupewa na Mungu
Ayubu
28:10 Hukata mifereji kati ya
majabali; Na jicho lake huona kila kito cha thamani
Ayubu
28:24 Maana anatazama hata
miisho ya nchi, Na kuona chini ya mbingu nzima.
Mungu yu kwenye utamalaki kamili wa
harakati zote duniani. Uelewa wake wa harakati za mwanadamu ni kamili.
Ayubu
31:4 Je! Yeye hazioni njia
zangu, Na kuzihesabu hatua zangu zote?
Ayubu
34:21-25 Kwani macho yake ya
juu ya njia za mtu, Naye huiona miendo yake yote. Hapana weusi, wala hilo giza
tupu, Wawezapo kujificha watendao udhalimu. Kwani yeye hana haja ya kumfikiria
mtu zaidi, ili aende mbele za Mungu ahukumiwe. Yeye huwavunja-vunja mashujaa
pasina kuwachunguza, Na kuwaweka wengine mahali pao. Kwa sababu hiyo yeye
huyatafiti matendo yao; Naye huwapindia usiku, wakaangamia.
Ayubu
36:4-5 Kwani yakini maneno yangu si ya uongo; Aliyekamilika katika
maarifa yu pamoja nawe. Tazama, Mungu ni hodari, wala hamdharau mtu ye yote;
Ana uweza katika nguvu za fahamu.
Ayubu
37:16 Je! Wajua jinsi mawingu
yalivyowekwa sawasawa, Hizo kazi za ajabu za huyo mkamilifu wa maarifa?
Ayubu
42:2 Najua ya kuwa waweza
kufanya mambo yote, Na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuilika.
Zaburi
1:6 Kwa kuwa Bwana anaijua
njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea
Zaburu
7:9 Ubaya wao wasio haki na
ukome, Lakini umthibitishe mwenye haki. Kwa maana mjaribu mioyo na viuno Ndiye
Mungu aliye mwenye haki.
Zaburi
11:4 Bwana yu katika hekalu
lake takatifu. Bwana ambaye kiti chake kiko mbinguni, Macho yake yanaangalia;
Kope zake zinawajaribu wanadamu.
Zaburi
33:13-15 Toka mbinguni Bwana
huchungulia, Huwatazama wanadamu wote pia. Toka mahali pake aketipo Huwaangalia
wote wakaao duniani. yeye aiumbaye mioyo yao wote Huzifikiri kazi zao zote.
Ayubu
37:18 Je! Waweza kuzitandaza
mbingu pamoja naye, Ambazo zina nguvu kama kioo cha kuyeyushwa?
Zaburi
38:9 Bwana, haja zangu zote
ziko mbele zako, Kuugua kwangu hakukusitirika kwako.
Zaburi
44:21 Je! Mungu
hatalichunguza neno hilo? Maana ndiye azijuaye siri za moyo.
Zaburi
66:7 Atawala kwa uweza wake
milele; Macho yake yanaangalia mataifa; Waasio wasijitukuze nafsi zao.
Zaburi
73:11 Nao husema, Mungu ajuaje? Yako maarifa
kwake aliye juu?
1Wakorintho
3:20 Na tena, Bwana
anayafahamu mawazo ya wenye hekima ya kwamba ni ya ubatili.
Kwa hiyo Mungu najaribu mioyo na mwongozo
au mapenzi na hiyari ya mwanadam wanavyojitoa kwake. Kiusahihi, kuanzisha
mioyoni mwao viwango vya kujitoa au kumaanisha ambavyo kwavyo watajisaidia
wenyewe.
Zaburi
94:9-11 Aliyelitia sikio
mahali pake asisikie? Aliyelifanya jicho asione? Awaadibuye mataifa asikemee?
Amfundishaye mwanadamu asijue? Bwana anajua mawazo ya mwanadamu, Ya kuwa ni
ubatili.
Zaburi
119:168 Nimeyashika
mausia yako na shuhuda zako, Maana njia zangu zote zi mbele zako.
Wateule wako mikononi mwake.
Zaburi
121:3-4 Asiuache mguu wako
usogezwe; Asisinzie akulindaye; Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye
aliye mlinzi wa Israeli.
Zaburi
139:1-24 Ee Bwana,
umenichunguza na kunijua. Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu;
Umelifahamu wazo langu tokea mbali. Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu,
Umeelewa na njia zangu zote. Maana hamna neno ulimini mwangu
Usilolijua kabisa, Bwana. Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako. Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi,
Hayadirikiki, siwezi kuyafikia. Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende
wapi niukimbie uso wako? Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu
kitanda changu, Wewe uko. Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za
mwisho za bahari; Huko nako mkono wako utaniongoza, Na mkono wako wa kuume
utanishika. Kama nikisema, Hakika giza litanifunika, Na nuru inizungukayo
ingekuwa usiku; Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana;
Giza na mwanga kwako ni sawasawa. Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu,
Uliniunga tumboni mwa mama yangu. Nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa Kwa jinsi ya
ajabu ya kutisha. Matendo yako ni ya ajabu, Na nafsi yangu yajua sana, Mifupa
yangu haikusitirika kwako, Nilipoumbwa kwa siri, Nilipoungwa kwa ustadi pande
za chini za nchi; Macho yako yaliniona kabla sijakamilika; Chuoni mwako
ziliandikwa zote pia, Siku zilizoamriwa kabla hazijawa bado. Mungu, fikira zako
zina thamani nyingi kwangu; Jinsi ilivyo kubwa jumla yake! Kama ningezihesabu
ni nyingi kuliko mchanga; Niamkapo nikali pamoja nawe. Ee Mungu, laiti
ungewafisha waovu! Enyi watu wa damu, ondokeni kwangu; Kwa maana wakuasi kwa
ubaya, Adui zako wakutaja jina lako bure. Je! Bwana nisiwachukie wanaokuchukia?
Nisikirihike nao wakuasio? Nawachukia kwa ukomo wa chuki, Wamekuwa adui kwangu.
Ee Mungu, unichunguze, uujue moyo wangu, Unijaribu, uyajue mawazo yangu; Uone
kama iko njia iletayo majuto ndani yangu, Ukaniongoze katika njia ya milele.
Zaburi
142:3 Nilipozimia roho
uliyajua mapito yangu; Katika njia niendayo wamenifichia mtego.
Bwana anawajua watu wake. Uelewa wake
ni wa hakika.
Zaburi
147:4-5 Huihesabu idadi ya
nyota, Huzipa zote majina. Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake
hazina mpaka.
Isaya
40:26 Inueni macho yenu juu, mkaone; ni nani aliyeziumba hizi;
aletaye nje jeshi lao kwa hesabu; aziita zote kwa majina; kwa ukuu wa uweza
wake, na kwa kuwa yeye ni hodari kwa nguvu zake; hapana moja isiyokuwapo mahali
pake.
Mithali
15:3 Macho ya Bwana yako kila
mahali; Yakimchunguza mbaya na mwema.
Mithali
15:11 Kuzimu na Uharibifu vi
wazi mbele za Bwana; Si zaidi basi, mioyo ya wanadamu?
Mithali
16:2 Njia zote za mtu ni safi
machoni pake mwenyewe; Bali Bwana huzipima roho za watu.
Kwahiyo, Mungu anaijua mioyo ila
anawajaribu. Huku ni kuanzisha mchkato wa kuelewea moyo wa kila mmoja ili
waweze kuingia kwenye hukumu ya haki.
Mithali
17:3 Kalibuni kwa fedha, na
tanuru kwa dhahabu; Bali Bwana huijaribu mioyo.
Mithali
24:12 Ukisema, Sisi hatukujua
hayo; Je! Yeye aipimaye mioyo siye afahamuye? Naye ailindaye nafsi yako siye
ajuaye? Je! Hatamlipa kila mtu sawasawa na kazi yake?
Isaya
28:29 Hayo nayo yatoka kwa
Bwana wa majeshi, mwenye shauri la ajabu, apitaye wote kwa hekima yake.
Isaya
29:15-16 Ole wao
wanaojitahidi kumficha Bwana mashauri yao, na matendo yao yamo gizani, nao
husema, Ni nani atuonaye? Nani atujuaye? Ninyi mnapindua mambo; Je! Mfinyanzi
ahesabiwe kuwa kama udongo; kitu kilichofinyangwa kimnene yeye aliyekifinyanga,
Hakunifinyanga huyu; au kitu kilichoumbwa kimnene yeye aliyekiumba, Yeye hana
ufahamu?
Isaya 40:13-28 Ni nani aliyemwongoza roho ya Bwana, na kumfundisha kwa kuwa mshauri wake? 14 Alifanya shauri na nani, ni nani aliyemwelimisha na kumfunza njia ya hukumu, na kumfunza maarifa, na kumwonyesha njia ya fahamu? 15 Tazama, mataifa ni kama tone la maji katika ndoo, huhesabiwa kuwa kama mavumbi membamba katika mizani; tazama, yeye huvinyanyua visiwa kama ni kitu kidogo sana. 16 Lebanoni nayo hautoshi kwa kuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa kafara. 17 Mataifa yote huwa kama si kitu mbele zake; huhesabiwa kwake kuwa duni ya si kitu, na ubatili. 18 Basi, mtamlinganisha Mungu na nani? Au mtamfananisha na mfano wa namna gani? 19 Sanamu fundi mmoja huiyeyusha, na mfua dhahabu huifunika dhahabu, huifulia mikufu ya fedha. 20 Yeye aliye maskini sana hata hawezi kutoa sadaka ya namna hii, huchagua mti usiooza, hujitafutia fundi mstadi wa kusimamisha sanamu ya kuchonga isiyoweza kutikisika. 21 Je! Hamkujua? Hamkusikia? Hamkuambiwa tokea mwanzo? Hamkufahamu tangu kuwekwa misingi ya dunia? 22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa; 23 ndiye awatanguaye wakuu, na kuwabatilisha waamuzi wa dunia. 24 Naam, hawakupandwa; hawakutiwa katika ardhi kama mbegu; naam, shina lao halikutia mizizi katika ardhi; tena awapuzia tu, wakanyauka, upepo wa kisulisuli wawaondoa kama mabua makavu. 25 Mtanifananisha na nani, basi, nipate kuwa sawa naye? Asema yeye aliye Mtakatifu. 26 Inueni macho yenu juu, mkaone; ni nani aliyeziumba hizi; aletaye nje jeshi lao kwa hesabu; aziita zote kwa majina; kwa ukuu wa uweza wake, na kwa kuwa yeye ni hodari kwa nguvu zake; hapana moja isiyokuwapo mahali pake. 27 Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, Bwana asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie? 28 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.
Mungu hafanyi kazi kwa mtindo wa zamu
ya masaa manane. Vitu vyote vinavyofanywa na mataifa yote yamejulikana. Watu
hao wataingia kwenye hukumu ya haki kwenye ufufuo wa pili wa wafu. Ni wateule
peke yao ndio wanaohukumiwa sasa. Wateule wanajiunga kutoka kwenye makundi
mawili. Kungi la kwanza ni lile la watu 144,000 kutoka kwenye makabila. Hiki ni
kiini cha uhusiano wa kumaongozi wa Ufalme wa Mungu. Kundi la maandiko ni
mkutano mkubwa wanaostahili kwa utii rahisi na imani kwa utaratibu wan je wa
kimaongozi. Watakuwa wote wafalme na watawala kwa kiwango wanachostahili. Hawa
watu 144,000 wanaonekana kuwa walichaguliwa kwa msingi wa watu sabini na mbili
kwa kipinndi cha mwaka kwa Yubile 120. Kwa maneno mwngine ni kusema kwamba watu
3,600 wanachaguliwa kwa kila Yubile. Msingi halisi wa muundo huu imeelezewa kwenye
jarida la Mavuno ya Mungu, Sadaka ya Mwandamo wa Mwezi Mpya na wale
144,000 (Na. 120). Ujuzi umeelezwa kwa hatua kama siri.
1Wakorintho
2:7 bali twanena hekima ya
Mungu katika siri, ile hekima iliyofichwa, ambayo Mungu aliiazimu tangu milele,
kwa utukufu wetu;
Hii inafanyika kama siri ili kuwalinda
wateule. Mara tu baada ya idadi kamili ya hawa 144,000
itakapotimia, ndipo siri hii itafunuliwa. Ndipo watu wote watajaribiwa. Wateule
wanajulikana kwa kupitia uweza wa Mungu wa kujua kila jambo. Wateule wameitwa
tangu mwanzoni.
1Petro
1:2 kama vile Mungu Baba
alivyotangulia kuwajua katika kutakaswa na Roho, hata mkapata kutii na
kununyiziwa damu ya Yesu Kristo. Neema na amani na ziongezwe kwenu.
Isaka alikuwa ni mmoja wa wateule.
Mungu alijua kuwa haendi kuuawa.
Isaya
41:4 Ni
nani aliyetenda na kufanya jambo hilo, aviitaye vizazi tangu mwanzo? Mimi,
Bwana, wa kwanza na wa mwisho, mimi ndiye.
Uelewa kamili wa Mungu unawezesha roho
ya unabii. Wanajulikana na kutangazwa tangu mwanzoni.
Isaya
42:9 Tazama, mambo ya kwanza
yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari
zake.
Isaya
44:7 Naye ni nani kama mimi
atakayeita, na kuyahubiri haya, na kunitengenezea, tangu nilipowaweka watu wa
kale? Na mambo yanayokuja na yatakayotokea, wayatangaze.
Vitu vyote vimewekwa kwa utaratibu na
Mungu, ili kwamba nyakati za mpango wa wokovu haziwezi kuuizwa au kupingwa na
Malaika waasi. Hii ndiyo sababu mnara wa Babeli uliharibiwa. Ndipo ustaarabu wa
uliendelea kwa kiasi kwamba ulikuwa unaendelelea, ndipo matokeo ya mwisho
ulianza kuwa ni kuharibika kwa mfumo wote wa jua na huenda hata kimakundi na
zaidi. Nyakati za maadui zilithibitika kwa kipindi maalumu ili kuwezesha
uzidishaji wa idadi ya watu kwa mazingira mazuri sana.
Wakati mwingine Mungu anayaanzisha
mataifa kwa kuwalinda wateule na kuueneza mpango wake kwa kina zaidi.
Isaya
45:4 Kwa ajili ya Yakobo,
mtumishi wangu, na Israeli, mteule wangu, nimekuita kwa jina lako; nimekupa
jina la sifa; ijapokuwa hukunijua (soma pia
aya ya 21)
Mungu anautangaza mwisho tangu mwanzo.
Kwa hiyo, matendo ya kila mmoja yapasa yaonekane kama mlolongo wa mawazo ya
kweli mtindo au utaratibu kama wa upana wa mara vinne ya mwanzoni.
Isaya
46:10 nitangazaye mwisho
tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado; nikisema,
Shauri langu litasimama, nami nitatenda mapenzi yangu yote.
Isaya
48:3-6 Mimi nimehubiri mambo ya kale tangu zamani;
naam, yalitoka katika kinywa changu, nikayadhihirisha; naliyatenda kwa ghafula,
yakatokea. 4 Kwa sababu nalijua ya kuwa wewe u mkaidi,
na shingo yako ni shingo ya chuma, na kipaji cha uso wako ni shaba; 5 basi nimekuonyesha tangu zamani; kabla hayajatukia
nalikuonyesha; usije ukasema, Sanamu yangu imetenda haya; sanamu yangu ya
kuchonga, na sanamu yangu ya kuyeyusha, imeyaamuru. 6 Umesikia
haya; tazama haya yote; nanyi, je! Hamtayahubiri? Nimekuonyesha mambo mapya
tangu wakati huu, naam, mambo yaliyofichwa, usiyoyajua.
Mchakato huu wa Uweza wa Kujua Kila
jambo au Uelewa wa Kimungu unaendelea.
Isaya
66:18 Nami nayajua matendo
yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote;
nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.
Kwa hiyo, mchakato huu unaendelea kwa
kupitia ufufuko na hukumu. Mungu anajaribu kuburudishwa na mioyo ya watu kwa
kupitia wajumbe wake chini ya Yesu Kristo.
Yeremia
11:20 Lakini, Ee Bwana wa
majeshi, uhukumuye haki, ujaribuye viuno na moyo, nijalie kuona kisasi chako
juu yao; kwa maana nimekufunulia wewe neno langu. Pia
soma Yeremia 20:12.
Yeremia
17:10 Mimi, Bwana,
nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake,
kiasi cha matunda ya matendo yake.
Yeremia
23:24 Je, mtu ye yote aweza
kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema Bwana. Je! Mbingu na nchi hazikujawa
nami? Asema Bwana.
Yeremia
32:19 mkuu wa mashauri, mweza
katika kutenda; ambaye macho yake yamefumbuka juu ya njia zote za wanadamu,
kumpa kila mtu kwa kadiri ya njia zake, na kwa kadiri ya matunda ya matendo
yake,
Ufufuo wa pili wa wafu kwa hiyo
unafungamanishwa na hali ya kila mmoja sawasawa na jinsi walivyoishi na
kuwalivyotenda wakati wa maisha yao ya kwanza. Michakato hii inachukuliwa tabia
na tabia hizo haziwezi kufichwa kwa Mungu. Roho Mtakatifu anawachunguza na
kuyaona na hata kama kila mmoja hajapewa Roho kwa njia ya ubatizo. Kwa hiyo,
matendo ya Roho kwa mujibu wa hali ya kujua kila jambo aliyonayo Mungu
huthibitisha uweza wake wa kujua kila kitu.
Ezekieli
11:5 Roho ya Bwana
ikaniangukia, naye akaniambia, Nena, Bwana asema hivi; Mmesema maneno hayo,
Enyi nyumba ya Israeli; maana mimi nayajua yaingiayo katika mioyo yenu.
Yeremia
51:15 Ameiumba dunia kwa
uweza wake, Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake
amezitandika mbingu.
Hakuna wakati wowote ambao Bwana
aliwahi kuisahau hii dunia. Wala hajawahi kuyasahau maovu yanayofanywa na watu.
Ni mpole atendapo, kwa rehema.
Ezekieli 9:9 Ndipo akaniambia, Uovu wa nyumba ya Israeli na
Yuda ni mwingi sana, nayo nchi imejaa damu, nao mji umejaa kupotosha hukumu;
maana husema, Bwana ameiacha nchi hii, naye Bwana haoni.
Udhihirisho wa Mungu kwenye utoaji
dhabihu ulimhusisha Isaka haushindanishwi na asili ya Mungu Baba au Eloa,
lakini ingekuwa ni vizuri zaidi kwa msaidizi wa Mungu Elohim wa Israeli.
Ufafanuzi zaidi mwingine ni kwamba Mungu alikuwa anamjaribu tu Ibrahimu kwa
kupitia Malaika, na akijua kitakachtokea na kwamba kumjaribu kule kulikuwa ni
kuwaonyesha wote wawili kwa Kristo na Ibrahimu kwamba wito na uweza wa Mungu wa
kujua yote hauna makosa. Jaribu la Ibrahimu halikuwa kwamba alitakiwa amtoe
mwanae wa pekee sadaka tu na ambaye kwamba ndiye aliyejumuishwa kwenye ahadi,
bali ilikuwa pia ni kuanzisha aina ya imani iliyohitajika kwenye moyo au
mawazoni mwa mtu na kumuonyesha Isaka na kwa hata kwa Israeli kwamba utii wake
kwa Mungu ulikuwa unazingira wote.
Makosa au upotoshahaji wa pili ya utoaji wa sadaka ya binadamu ulikuwa uanze
kwa uendelevu mkubwa mawazoni mwa Ibrahimu.
Matendo ya Mungu yanakuwa yamezingirwa
kama Amosi anavyoonyesha.
Amosi
9:2-4 Wajapochimba waingie
katika kuzimu, mkono wangu utawatoa huko; nao wajapopanda hata mbinguni,
nitawatelemsha toka huko. 3 Nao wajapojificha katika
kilele cha Karmeli, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika
vilindi vya bahari nisiwaone, nitamwagiza joka huko, naye atawauma. 4 Nao wajapokwenda hali ya kufungwa mbele ya adui zao,
nitauagiza upanga huko, nao utawaua; nami nitawaelekezea macho yangu niwatende
mabaya, wala si mema.
Danieli
anaonyesha kwamba uweza huu wa kujua kila kitu hauhusiani na gawio au ukaribu.
Kujua nyakati za mwisho ulijulikana tangu mwanzo na ulitangazwa na Mungu.
Danieli
2:20-28 Danielii akajibu,
akasema, Na lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na uweza
ni wake. 21 Yeye hubadili majira na nyakati; huuzulu
wafalme na kuwamilikisha wafalme; huwapa hekima wenye hekima; huwapa wenye
ufahamu maarifa; 22 yeye hufunua mambo ya fumbo na ya
siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake. 23 Nakushukuru,
nakuhimidi, Ee Mungu wa baba zangu, uliyenipa hekima na uwezo, ukanijulisha
hayo tuliyotaka kwako; maana umetujulisha neno lile la mfalme. 24 Basi Danielii akaenda kwa Arioko, aliyewekwa na mfalme
kuwaangamiza wenye hekima wa Babeli; alikwenda akamwambia hivi, Usiwaangamize
wenye hekima wa Babeli; niingize mimi mbele ya mfalme, nami nitamwonyesha
mfalme ile tafsiri. 25 Ndipo Arioko akamwingiza
Danielii mbele ya mfalme kwa haraka, akamwambia hivi, Nimemwona mtu wa hao wana
wa Yuda waliohamishwa, atakayemjulisha mfalme ile tafsiri. 26
Mfalme akajibu, akamwambia Danielii, aliyekuwa akiitwa Belteshaza, Je!
Waweza kunijulisha ile ndoto niliyoiona, na tafsiri yake. 27 Danielii
akajibu mbele ya mfalme, akasema, Ile siri aliyoiuliza mfalme, wenye hekima
hawawezi kumfunulia mfalme; wala wachawi, wala waganga, wala wanajimu; 28 lakini yuko Mungu mbinguni afunuaye siri, naye
amemjulisha mfalme Nebukadreza mambo yatakayokuwa siku za mwisho.
Mungu anadhihirisha hili kwa hatua kwa
kupitia manabii na wateule wanaoitwa sawasawa na kujualikana kwao tangu mwanzo
na hekima yake.
Warumi 8:27-30 Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya
Roho ilivyo, kwa kuwa huwaombea watakatifu kama apendavyo Mungu. 28 Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote
Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale
walioitwa kwa kusudi lake. 29 Maana wale
aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana
wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi. 30 Na wale
aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia
haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza.
Hatutaanguka iwapo kama tumejulikana
tangu mwanzo na Mungu. Yeye anayajua matendo yetu kwa uwezo wake wa kujua kila
kitu. Tunajaribiwa ili kutuimarisha na kutusogoza mbele hukumuni. Kwa mchakato
huu sisi tu mfano na ushuhuda kwa ulimwengu, sio tu kwa kuwaendeleza wateule.
Hao wanaoanguka waliitwa tu ila hawakuchaguliwa.
Maandalizi ya wateule yanafanyika
chini ya Malaika wa YHVH ambaye ndiye Kristo.
Malaika na
Mke wa Isaka
Huyu mjumbe au msaidizi wa Mungu
anaitwa Malaika wa YHVH, ambaye anamwangalia
Ibrahimu, anaitwa kutumika wakati alipokuwa anaondoka mtumishi wa Ibrahimu na
kwenda kumtafutia mke Isaka. Ibrahimu alimuita kiumbe huyu kuwa ni:
Mwanzo 24:7 Bwana, Mungu wa mbingu, aliyenitoa katika
nyumba ya babangu, na kusema nami katika nchi niliyozaliwa, aliniapia akisema,
Nitawapa uzao wako nchi hii; yeye atampeleka malaika wake mbele yako, nawe
utamtwalia mwanangu mke tokea huko; Interlinear)
Kiumbe huyu hapa ni Yahova au
YHVH, Elohim wa mbingu kwa mujibu wa SHD 8064, Shâmeh,
mawingu au kiwango cha juu kinachotajwa kwenye tundu linaloonekana ambayo kwayo
mawingu huondoka pia na mbingu za juu sana. Kiumbe aliyemtokea Ibrahimu alikuwa
Elohim wa Israeli na siyo Eloah.
Kuchaguliwa kwa Ibrahimu lazima
kulifanyika kwa agizo la Eloah akiutendea kazi uweza wake wa kujua kila
jambo. Malaika anayetajwa hapa ni msaidizi. Hata hivyo, alichukuliwa
kama kuchukua na kutendea kazi uweza na mamlaka ya Mungu.
Mtumishi wa Ibrahimu alisindikizwa na
Malaika:
Mwanzo 24:39-40 Nikamwambia bwana wangu, Labda huyo
mwanamke hatafuatana nami. Akaniambia, Bwana, ambaye naenenda machoni pake,
atapeleka malaika wake pamoja nawe, atafanikisha njia yako;
Mtumishi anamtaja Malaika huyu kuwa ni
Mungu wa bwana wake.
Mwanzo 24:42-44 Nami
nikaja leo kisimani, nikasema, Ee Bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu,
ukinifanikishia sasa njia yangu niendayo mimi, tazama! Nimesimama karibu na
kisima cha maji; basi na iwe hivi, msichana ajaye kuteka maji, nikamwambia,
Nipe, nakuomba, maji kidogo katika mtungi wako ninywe, naye akaniambia, Unywe
wewe, na ngamia zako pia nitawatekea, huyo na awe ndiye mke Bwana aliyemwekea
mwana wa bwana wangu.
Mrejesho unaonyesha kwamba wakati alipokuwa Malaika wa YHVH kuwa
alikuwa pamoja nay eye, Malaika anatajwa kuwa ni YHVH (au Yahova).
Jina au Cheo chake vinaonyesha mamlaka na
matumizi yake hapa yanaonyesha nadharia au imani ya Kiyahudi ya vitu vitendavyo
kazi kwa usaidizi vinavyopewa majina au vyeo kwa kupewa na kuruhusiwa. Kwa
hiyo, ndipo dhana ya kutenda kazi kwa kusaidia, ni sawa na kama ilifanyika kwa
uweza, unaoitwa wa Mungu. Dhana yenyewe inaenea na kuzaidi kuonekana kwa
maelezo ya mtumishi wake.
Mwanzo 24:48 Nikainama,
nikamsujudia Bwana, nikamtukuza Bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu,
aliyeniongoza njiani, nimtwalie mwana wa bwana wangu binti wa ndugu yake.
Hitimisho la
Msingi
Hitimisho ile linalojitokeza kuwa
haliepukiki ni kwamba Elohim wa Ibrahimu na, ambaye ni wa Israeli,
ni Malaika, ambaye ni mjumbe, kama
msaidizi wa Mungu ambaye ndiye anayatenda mapenzi ya Mungu, Eloah.
Usaidizi, hata hivyo, hau kutoka
kwenye mamlaka. Uwepo wa Malaika au mjumbe ni sawa na uwepo wa Mungu, na wa
Malaika mwenyewe ni muonekano wa zama za
kabla ya kuzaliwa kimwili hapa duniani kama tunavyojionea kwenye vifungu
kadhaa mbalimbali. Kumuona Malaika ni kumuona Mungu, na kwa kweli, ndipo mahali
ambapo kitendo cha kutembelea kinapofanyika kuwa ni kitakatifu kama ilivyokuwa
huko Sinai na Musa. Dhana ya usaidizi wa huyu Elohim linaungwa
mkono au kupata mashiko na maandiko.
Hitimisho la
Pili
Huyu
elohim anahusishwa na uanzishwaji wa mstari na uchaguzi wa mteule kwa
msingi endelevu. Msingi wa mstari wa uzawa umefanyika ili kuweshesha uwepo wa
hawa 144,000 kutka kwenye makabila, sawasawa na urithi wao. Kristo anatoa
hakikisho kwamba kila mmoja amebakizwa pale ilipo muhimu kualiza mpango kama
ulivyoeleweka na Mungu. Haipaswi tushindwe tuharibiwapo. Ndoa yetu ipo imara na
Mwanakondo wa Mungu.
q